Hivi ndivyo Rais Kenyatta akicheza na ku-Dab na kundi la FBI...



Raisi kenyatta on stage
Rais kwa kenya Uhuru Kenyatta amechukua headlines kwenye mitandao baada ya picha zake aikwa anacheza na  kupiga dab akiwa na vijana wa kundi la FBI Dance Crew. 
Rais Uhuru amekua akihimiza Raia haswa vijana wa Kenya kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Kenya utakao fanyika mwishoni mwa mwaka huu.

SHARE

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment